AZAM FC YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 KOMBE LA MAPINDUZI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

AZAM FC YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 KOMBE LA MAPINDUZI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

BAO pekee la kiungo Mkenya, Kenneth Muguna dakika ya 67 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Kundi A usiku huu Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Mechi iliyotangulia, ya Kundi A pia, Meli 4 City imeibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Yosso Boys hapo hapo Uwanja wa Amaan, mabao ya Hussein Mwinyi dakika ya 18, Said Omar dakika ya 45' na Ali Mmanga dakika ya 81.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz