ARSENAL PUNGUFU YATOA SARE NA LIVERPOOL ANFIELD -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

ARSENAL PUNGUFU YATOA SARE NA LIVERPOOL ANFIELD -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

PAMOJA na kucheza pungufu, Arsenal imelazimisha sare ya bila kufungana na wenyeji katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England usiku huu Uwanja wa Anfield.
Arsenal walilazimika kucheza pungufu tangu dakika ya 24 baada ya Granit Xhaka kutolewa kwa kadi nyekundu kufuatia kumchezea rafu Diogo Jota.
Liverpool sasa itasafiri kwenda London kwa mchezo wa marudiano Januari 20 Uwanja wa Emirates na mshindi wa jumla atakutana na Chelsea katika fainali ambayo imeitoa Tottenham kwa jumla ya mabao 3-0, ikishinda 2-0 Stamford Bridge na 1-0 Tottenham.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz