Zlatan: Mabao Mengi ya Pele ya Offside-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Zlatan: Mabao Mengi ya Pele ya Offside-Michezoni leo

Mshambuliaji wa AC Milan, Zlatan Ibrahimovic hajaonesha kukubali uwezo wa mfalme wa Soka kutoka nchini Brazil Pele. Licha ya Pele kuzungumzwa kufungwa magoli zaidi ya 1000 katika kipindi cha uchezaji wake, Zlatan haonekani kutishwa na rekodi hizo.

 

“Kama ningecheza enzi za Pele, ningefunga mabao 3000. Hakukuwa na sheria kali. Hakukuwa na kuotea (offside). Hakukuwa na VAR. Naamini bila offside ningefunga katika kila mechi, kitu pekee kingemzuia Zlatan asifunge ingekuwa majeruhi, bado sihesabu magoli yake Pele kwa sababu mengi yalikuwa ni magoli ya kuotea hata sijisumbui kumsikiliza anaposema yeye ni bora kuliko Ronaldo, Messi na Mimi,” amesema Zlatan.

The post Zlatan: Mabao Mengi ya Pele ya Offside appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz