TAIFA STARS BILA WA SIMBA NA YANGA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

TAIFA STARS BILA WA SIMBA NA YANGA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

KOCHA Mdenmark wa timu ya taifa ya Tanzania, Kim Poulsen ameita kikosi cha wachezaji 23 ambacho kitaingia kambini kesho kujua saa na mchezo wa kirafiki katika sherehe za miaka 60 ya Uhuru dhidi ya Uganda Desemba 9.
Katika kikosi hicho hajajumuishwa mchezaji hata mmoja wa Simba au Yanga, bila shaka kuziachia fursa klabu hizo ya maandalizi ya pambano baina yao Desemba 11.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz