SIMBA WAANZIA LUSAKA MAZOEZI DHIDI YA YANGA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

SIMBA WAANZIA LUSAKA MAZOEZI DHIDI YA YANGA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WACHEZAJI wa Simba SC wakifanya mazoezi Jijini Lusaka nchini Zambia kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


Simba ipo Lusaka tangu Ijumaa ambako walikwenda kumenyana na wenyeji, Red Arrows katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika, ambao walifungwa 2-1, lakini wamefuzu hatua ya makundi kwa ushindi wa jumla wa 4-2 kufuatia kushinda 3-0 kwenye mchezo wa kwanza Dar es Salaam.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz