SIMBA SC YATINGA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

SIMBA SC YATINGA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wamefanikiwa kufuzu Hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika licha ya kuchapwa mabao 2-1 na wenyeji, Red Arrows jioni ya leo Uwanja wa Taifa wa Mashujaa Jijini Lusaka, Zambia.
Mabao ya Red Arrows yamefungwa na Ricky Banda dakika ya 45 na Sadam Phiri dakika ya 48, wakati bao pekee la Simba SC limefungwa na Hassan DIlunga dakika ya 67.
Simba SC inaingia hatua ya makundi kwa ushindi wa jumla wa 4-2 kufuatia kushinda 3-0 kwenye mchezo wa kwanza Jumapili iliyopita Dar es Salaam.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz