SIMBA SC WALIVYOIFUATA RED ARROWS LUSAKA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

SIMBA SC WALIVYOIFUATA RED ARROWS LUSAKA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

KIKOSI cha Simba kimeondoka leo asubuhi kwenda Zambia kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa kuwania tiketi ya kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, Red Arrows Jumapili Uwanja wa Taifa wa Mashujaa Jijini Lusaka.
Simba SC inahitaji kuulinda ushindi wake wa 3-0 kwenye mchezo wa kwanza Jumapili iliyopita Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam ili kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho kwa mara ya kwanza katika historia yake.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz