Ruvu Nao Wataka kujipigia KMC-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Ruvu Nao Wataka kujipigia KMC-Michezoni leo

TIMU ya Ruvu Shooting ya Pwani imetamba kuishushia kipigo kikali wapinzani wao KMC watakayokutana nayo kesho Jumanne katika mechi ya Ligi Kuu Bara katika Uwanja wa Uhuru, Dar es salaam.

 

Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa inyeshe mvua au liwake jua ni lazima waibuke na pointi tatu za mchezo huo kwa kuwa wamechoka kufungwa lakini pia wanahitaji pointi hizo ili waweze kukaa katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi.

 

“Hata kama itatokea hali gani ya hewa pale uwanjani yaani iwe jua ama mvua ni lazima tuifunge KMC na kupata pointi tatu zitakazotuweka sehemu nzuri katika msimamo wa ligi hii,” alisema Bwire.

ABDALLAH ZALALA PWANI

The post Ruvu Nao Wataka kujipigia KMC appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz