Rasmi: Sure Boy Mali ya Wananchi-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Rasmi: Sure Boy Mali ya Wananchi-Michezoni leo

Kiungo Salum Abubakar “Sure Boy” anmetambulishwa rasmi ndani ya Kikosi cha Yanga baada ya uvumi wa wiki kadhaa kuwa anakwenda Yanga kama mchezaji huru.

 

Sure boy alikuwa akiitumikia Azam FC na hivi karibuni aliingia kwenye mgogoro na uongozi wa Klabu hiyo na kusimamishwa kwa miezi kadhaa.

 

Nyota huyo aliichezea Azam FC miaka 14 kabla ya kuachana nayo juma lililopita. Huu ni usajili wa kwanza kuthibitishwa na Yanga SC kwenye dirisha hili la usajili.

The post Rasmi: Sure Boy Mali ya Wananchi appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz