RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia (wa pili kutoka kulia) na Makamu wake wa Kwanza, Athumani Nyamlani (wa kwanza kulia) wamekutana na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Hossein Bahineh (wa pili kutoka kushoto).
Mkutano wao ulihusu kuzungumzia juu ys ya kuimarisha uhusiano baina ya TFF na Iran ili isaidie soka ya vijana katika ngazi ya shule nchini.
No comments:
Post a Comment