PRINCE DUBE AWEZA KUREJEA DHIDI YA KAGERA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

PRINCE DUBE AWEZA KUREJEA DHIDI YA KAGERA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MSHAMBULIAJI Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo anaweza akarejea uwanjani Alhamisi ijayo Azam FC ikimenyana na Kagera Sugar ya Bukoba.
Ni Azam FC ndio watakaokuwa wenyeji wa Kagera siku hiyo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Dube amekuwa nje kwa muda mrefu kutokana na maumivu na kukosekana kwake kumeipunguzia Azam FC idadi ya mabao mwanzoni mwa msimu.
Dube amekuwa na mwendelezo mzuri mazoezini kwa wiki ya tatu sasa na baada ya mazoezi mepesi kwa muda wote, jana alianza kujifua kikamilifu na wenzake katika programu kamili.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz