POLISI TANZANIA YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

POLISI TANZANIA YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

BAO la Tariq Simba dakika ya tano ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90 za kawaida limeipa Polisi Tanzania ushindi wa 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
Polisi Tanzania inafikisha pointi 14 na kurejea nafasi ya tatu, wakati Tanzania Prisons inabaki na pointi zake katika nafasi ya 12 kwenye ligi ya timu 16 baada ya wote kucheza mechi nane sasa.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz