ORIGI AING’ARISHA LIVERPOOL MOLINEUX -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

ORIGI AING’ARISHA LIVERPOOL MOLINEUX -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

BAO la mshambuliaji Mbelgiji mwenye asili ya Kenya, Divock Origi dakika ya 90 na ushei limeipa Liverpool ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Molineux.
Liverpool ya kocha Mjerumani, Jurgen Klopp inafikisha pointi 34 baada ya ushindi huo na kusogea nafasi ya pili, ikizidiwa pointi moja na mabingwa watetezi, Manchester City baada ya wote kucheza mechi 15.
Wolves inabaki na pointi zake 21 za mechi 15 pia nafasi ya tisa.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz