NYOTA YANGA WALIVYOFURAHIA WIKIENDI YAO WHITE SANDS-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

NYOTA YANGA WALIVYOFURAHIA WIKIENDI YAO WHITE SANDS-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WACHEZAJI wa Yanga jana walitoka kwa pamoja na viongozi wao kwenda kufurahia pampja Jumapili yao katika hoteli ya White Sands, Dar es Salaam.Baada ya kufurahia siku yao jana, kikosi kinarejea kambini kuendelea na maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya watani wa jadi, Simba Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz