Mkwasa Abwaga Manyanga Ruvu Shooting-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Mkwasa Abwaga Manyanga Ruvu Shooting-Michezoni leo

 

KOCHA Charles Boniface Mkwasa ‘Master’ amechana na Klabu ya Ruvu Shooting ya Pwani. Mkwasa ametaja sababu ya kuachana na timu hiyo ni matokeo mabovu.

 

“Nimeamua kuwajibika kutokana na kutotimiza malengo ya klabu. Tumepitia changamoto nyingi hivyo nimeona ni vyema kuacha ili wengine waendelee pale nilipoishia,” amesema Mkwasa.

 

Kufuatia uamuzi huo wa Mkwasa timu hiyo itaongozwa na Kocha Msaidizi, Rajab Nakuchema wakati uongozi ukiendelea kusaka kocha mkuu kuchukua nafasi hiyo.

The post Mkwasa Abwaga Manyanga Ruvu Shooting appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz