Metacha Ampiga Chini Meneja Wake, Ahusishwa Kurejea Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Metacha Ampiga Chini Meneja Wake, Ahusishwa Kurejea Yanga-Michezoni leo

Golikipa namba moja wa Timu ya Polisi Tanzania, Metacha Mnata amevunja mkataba na aliekuwa meneja wake Jemedari Said.

 

Tamko hili limekuja wakati huu ambapo metacha anazungumzwa kuhitajika na Yanga ambao wanampoteza Golikipa wao raia wa Mali Diarra anaekwenda kujiunga na Timu yake ya Taifa katika michuano ya AFCON.

 

Uhusiano wa Meneja huyo na Viongozi wa Yanga kwa siku za hivi karibuni umekuwa sio wa kuridhisha jambo linalowaacha wengi na maswali pengine ili aweze kurudi Yanga kwa urahisi basi golikipa huyo ameona ni vyema aachane na meneja wake.

The post Metacha Ampiga Chini Meneja Wake, Ahusishwa Kurejea Yanga appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz