MAN CITY YAIPIGA WATFORD 3-1 NA KUPAA KILELENI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MAN CITY YAIPIGA WATFORD 3-1 NA KUPAA KILELENI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Manchester City imeendeleza wimbi la ushindi baada ya kuichapa Watford mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Vicarage.
Mabao ya Manchester City yamefungwa na Raheem Sterling dakika ya nne na Bernardo Silva mawili dakika ya 31 na 63, wakati la Watford limefungwa na mtokea benchi, Cucho Hernandez dakika ya 75.
Kwa ushindi huo, Man City ya kocha Pep Guardiola inafikisha pointi 35 na kupanda kileleni mwa ligi, ikiizidi pointi moja Liverpool inayofuatia na mbili Chelsea, wakati Watford inabaki na pointi zake 13 katika nafasi ya 17 baada ya timu zote kucheza mechi 15.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz