Man City Yaichakaza Aston Villa-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Man City Yaichakaza Aston Villa-Michezoni leo

Kocha Steven Gerrard amepokea kichapo chake cha kwanza ndani ya EPL baada ya Aston Villa kulambishwa 2-1 na Manchester City nyumbani Villa Park.

Mabao ya kipindi cha kwanza ya Ruben Dias na Bernardo Silva yametosha kuihakikishia ushindi City na kuendeleza harakati za kutetea taji lake la EPL msimu huu.

The post Man City Yaichakaza Aston Villa appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz