MAFUNDI WANAPOKUTANA, HESHIMA HUCHUKUA NAFASI YAKE-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MAFUNDI WANAPOKUTANA, HESHIMA HUCHUKUA NAFASI YAKE-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

VIUNGO, Mganda Khalid Aucho (28) wa Yanga na Ramadhan Chombo ‘ Redondo’ wa Biashara United (34) katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-1.
Wawili hawa waliibuka pamoja mwaka 2009, Redondo akitokea Ashanti na akacheza pia Simba, Azam FC, Villa Squad, Mbeya City, Friends Rangers na African Lyon kabla ya kujiunga na Biashara mwaka 2019.
Kwa upande wake Aucho aliibukia Manispaa ya Jinja, akacheza hadi Maji (Water), Simba za kwao, Uganda, Tusker, Gor Mahia za Kenya, Baroka FC ya Afrika Kusini, Red Star Belgrade, OFK Beograd za Serbia, East Bengal, Churchill Brothers za India na El Makkasa ya Misri kabla ya kutua Yanga Agosti mwaka huu.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz