Liverpool Yaitesa Everton-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Liverpool Yaitesa Everton-Michezoni leo

Liverpool imefanikiwa kuibuka na ushindi wa 4-1 ugenini kwa mahasimu wao wa Everton katika mchezo wa ligi kuu ya kandanda nchini England.

Mabao ya Liverpool yamefungwa na nahodha Jordan Henderson, Mohamed Salah aliyefunga mara mbili pamoja na Diogo Jota.

Kipigo hicho kinamuweka katika wakati mgumu meneja wa Everton Rafa Benitez ambaye ameandamwa na mfululizo wa matokeo mabovu tangu achukue mikoba ya Carlo Ancellot kufundisha kikosi hicho.

The post Liverpool Yaitesa Everton appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz