LIGI YA WANAWAKE; SIMBA NA YANGA JANUARI 8 UHURU-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

LIGI YA WANAWAKE; SIMBA NA YANGA JANUARI 8 UHURU-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

RATIBA ya Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara imetoka na itaanza Desemba 23 ikishirikisha jumla ya timu 12, huku watani wa jadi, Simba Queens na Yanga Princes wakikutana Januari 8, mwakani Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Mabingwa watetezi, Simba Queens watafungua dimba na Ruvuma Queens Desemba 23 Uwanja wa Mo Simba Arena, wakati washindi wa pili wa msimu uliopita, Yanga Princes wataanzia ugenini dhidi ya Baobao Queens Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma Desemba 24.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz