Lewandowski Kupewa Tuzo Yake ya Ballon d’OR-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Lewandowski Kupewa Tuzo Yake ya Ballon d’OR-Michezoni leo

Baada ya Lionel Messi kuzungumza kuwa mshambuliaji wa Bayern Munich Roberto Lewandowski anastahili kupewa tuzo ya Ballon d’Or ya mwaka 2020 Kauli hiyo imeungwa mkono na waandaaji wa Tuzo hizo.

Taarifa zinadai waandaaji wa Tuzo hizo wanafikiria kumpa tuzo ya mchezaji bora kwa mwaka 2020. Baada ya Hafla ya utoaji tuzo hizo kwa mwaka 2020 kutofanyika kutokana na mlipuko wa Covid 19 .

The post Lewandowski Kupewa Tuzo Yake ya Ballon d’OR appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz