Klabu 15 Zaikubali GSM-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Klabu 15 Zaikubali GSM-Michezoni leo

Klabu 15 kati ya 16 zinazoshiriki Ligi Kuu ya Bara zimetoka na azimio la kuunga mkono Udhamini wa Kampuni ya GSM kwenye Ligi hiyo na ziko tayari kuvaa nembo za Mdhamini huyo mwenza wa Ligi hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa ya Bodi ya Ligi iliyotolewa vilabu hivyo pia vinepongeza juhudi za TFF na Bodi ya Ligi kusaka wadhamini na zimeomba kuendelea na juhudi za kusaka wadhamini wengine.

The post Klabu 15 Zaikubali GSM appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz