Fainali za AFCON 2021 Ziko Palepale-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Fainali za AFCON 2021 Ziko Palepale-Michezoni leo


Hatimaye Shirikisho la kabumbu barani Afrika CAF limethibitisha kuwa fainali za kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2022 zitafanyika nchini Cameroon kama ilivyokuwa imepangwa awali.

Hii inafuatia wiki kadhaa za mikwara na miongozo ya UEFA na FIFA kutaka AFCON isogezwe mbele.

Na sasa ni rasmi maombi hayo yamegonga mwamba na CAF chini ya Rais Patrice Motsepe imekunjua makucha na kushikilia msimamo wake ili kulinda hadhi ya soka la Afrika.

The post Fainali za AFCON 2021 Ziko Palepale appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz