CHELSEA YAPOROMOSHWA KILELENI ENGLAND -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

CHELSEA YAPOROMOSHWA KILELENI ENGLAND -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, West Ham wameichapa Chelsea mabao 3-2 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa London.
Mabao ya Chelsea yamefungwa na Thiago Silva dakika ya 28 na Mason Mount dakika ya 44, wakati ya West Ham yamefungwa na Manuel Lanzini kwa penalti dakika ya 44, Jarrod Bowen dakika ya 56 na Arthur Masuaka dakika ya 87.
Ushindi huo unaifanya West Ham ya kocha David Moyes iifikishe pointi 27 na kusogea nafasi ya nne ikizidiwa pointi sita na Chelsea baada ya mechi 15 kwa wote na The Blues inaangukia nafasi ya tatu kutoka kileleni ilipodumu kwa muda.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz