Chelsea Yaitungua Watford-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Chelsea Yaitungua Watford-Michezoni leo

Chelsea wameendelea kusalia kileleni mwa msimamo wa EPL baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa 2-1 ugenini dhidi ya Watford katika muendelezo wa ligi kuu soka nchini England.

Mabao ya Mason Mount na kiungo Hakim Ziyech yalitosha kuipa alama zote tatu Chelsea katika mchezo huo uliokuwa na ushindani wa kipekee.

The post Chelsea Yaitungua Watford appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz