Chelsea Yaitungua Brentford-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Chelsea Yaitungua Brentford-Michezoni leo

Usiku wa kuamkia leo Desemba 23, Chelsea imefanikiwa kutinga nusu fainali ya kombe la ligi EFL Carabao Cup kwa kuizaba Brentford 2-0.

Bao la mkwaju wa penati la dakika za jioni uliopachikwa na Jorginho lilimaliza ndoto za Brentford na kuihakikishia tiketi ya nusu fainali Chelsea.

Sasa matajiri hao wa London wataanzia nyumbani kwenye nusu fainali dhidi ya Tottenham Hotspur inayofundishwa na mwalimu wa zamani wa timu hiyo Antonio Conte katika vita nyingine ya London.

The post Chelsea Yaitungua Brentford appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz