CHELSEA YAILAZA WATFORD 2-1 VICARAGE-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

CHELSEA YAILAZA WATFORD 2-1 VICARAGE-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

VINARA, Chelsea jana wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Watford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Vicarage Road mjini Watford.
Mabao ya Chelsea yalifungwa na Mason Mount dakika ya 29 na Hakim Ziyech dakika ya 72, wakati la Watford lilifungwa na Emmanuel Dennis 43.
Chelsea inafikisha pointi 33 na kuendelea kuongoza Ligi is pointi moja zaidi ya Manchester City na mbili zaidi ya Liverpool baada ya timu zote kucheza mechi 14, wakati Watford inabaki na pointi zake 13 za mechi 14 nafasi ya 17.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz