#Carabao: Tottenham Yaitungua West Ham-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

#Carabao: Tottenham Yaitungua West Ham-Michezoni leo

Mabao ya kipindi cha kwanza ya Steven Berwigijn na Lucas Moura yameiwezesha Tottenham Hotspur kufuzu hatua ya nusu fainali kombe la ligi EFL CUP kwa kuiondosha West Ham United kwa ushindi wa 2-1. Tottenham sasa watakutana na Chelsea kwenye nusu fainali.

 

The post #Carabao: Tottenham Yaitungua West Ham appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz