BARCELONA YAKWAMA MAKUNDI BAADA YA MIAKA 21-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

BARCELONA YAKWAMA MAKUNDI BAADA YA MIAKA 21-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Bayern Munich wameichapa Barcelona 3-0 katika mchezo wa mwisho wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich, Ujerumani.
Mabao ya Bayern Munich yamefungwa na Thomas Muller dakika ya 34, Leroy Sane dakika ya 43 na Jamal Musiala dakika ya 62.
Kwa matokeo hayo, Bayern Munich inamaliza na pointi 18 kileleni mwa kundi hilo, ikifuatiwa na Benfica pointi nane na zote zinafuzu Hatua ya 16 Bora.
Kwa pointi zake saba, Barcelona inamaliza nafasi ya tatu mbele ya Dynamo Kiev yenye pointi moja na kutupwa nje ya michuano hiyo kwa mara ya kwanza wakishindwa kuvuka hatua ya makundi ndani ya miaka 21.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz