YANGA YAIZAWADIA JEZI FAMILIA YA MWALIMU NYERERE-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

YANGA YAIZAWADIA JEZI FAMILIA YA MWALIMU NYERERE-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MWENYEKITI wa Yanga SC, Dk. Mshindo Msolla leo amewakabidhi jezi za timu hiyo, mke wa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, marehemu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mama Maria Nyerere pamoja na mwanawe, Madaraka Nyerere nyumbani kwao Msasani, Jijini Dar es Salaam.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz