BARCELONA imemtambulisha mchezaji wake wa zamani, Xavi kuwa kocha wake mpya kufuatia kufukuzwa Ronald Koeman.
Xavi ametambulishwa leo Uwanja wa Camp Nou mbele ya mashabiki 10,000 kufuatia kusaini mkataba wa miaka miwili na nusu.
Xavi amelazimika kuvunja mkataba na Al Sadd kwa kuilipa Pauni Milioni 4.3 ili kurejea Camp Nou.

No comments:
Post a Comment