WAZIRI MKUU ATETA NA WACHEZAJI STARS-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

WAZIRI MKUU ATETA NA WACHEZAJI STARS-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WAZIRI  Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungumza na wachezaji wa timu ya taifa, Taifa Stars jana baada ya mazoezi kuelekea mchezo wa kesho wa Kundi J kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).


Wachezaji wa Taifa Stars wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.


Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta anayecheza Royal Antwerp ya Ubelgiji akiwa mazoezini na wenzake.


Nyota wa Taifa Stars, Simon Msuva anayecheza Wydad Athletic ya Morocco akiwa mazoezini na wenzake
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz