WAKONGO WAENDELEA KUING’ARISHA YANGA SC-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

WAKONGO WAENDELEA KUING’ARISHA YANGA SC-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

YANGA SC imetoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya KMKM katika mchezo wa kirafiki usiku huu Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
KMKM walitangulia kwa bao la Optatus Lupekenya dakika ya 20, kabla ya Yanga kuzinduka kwa mabao ya Wakongo, winga Jesus Moloko 27 na Fiston Mayele dakika ya 85.
Huo ulikuwa mchezo wa pili wa kirafiki kwa Yanga baada ya Jumanne kushinda 1-0 hapo hapo Amaan, bao la Mkongo mwingine, Heritier Makambo.
Yanga iliwasili Jumanne Zanzibar kuweka kambi ya wiki moja kipindi hiki cha mapumziko mafupi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz