TANZANITE YAPIGWA TENA CECAFA U20-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

TANZANITE YAPIGWA TENA CECAFA U20-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TANZANIA leo imepoteza mechi ya pili mfululizo kwenye michuano ya  CECAFA wanawake U20 baada ya kuchapwa 1-0 na wenyeji, Uganda Uwanja wa FTC Njeru.
Kipigo hicho kinafuatia kipigo cha 2-1 kutoka kwa Ethiopia kwenye mchezo uliopita.
Mechi mbili za awali, Tanzanite ilishinda 1-0 dhidi ya Eritrea na 3-2 dhidi ya Burundi na itashuka tena dimbani Jumanne kukamilisha mechi zake kwa kucheza na Djibouti.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz