TANZANITE YAONJESHWA KIPIGO MICHUANO YA CECAFA -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

TANZANITE YAONJESHWA KIPIGO MICHUANO YA CECAFA -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TANZANIA leo imechapwa 2-1 na Ethiopia katika mfululizo michuano ya  CECAFA wanawake U20 mchana wa leo  Uwanja wa FTC Njeru nchini Uganda.
Kipigo hicho kinakuja baada ya Tanzanite kushinda mechi mbili za awali, 1-0 dhidi ya Eritrea na 3-2 dhidi ya Burundi.
Tanzanite itashuka tena dimbani Jumamosi kuivaa Uganda kabla ya kukamilisha mechi zake kwa kucheza na Djibouti Novemba 9.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz