TANZANITE YAIBUGIZA DJIBOUTI 8-0 UGANDA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

TANZANITE YAIBUGIZA DJIBOUTI 8-0 UGANDA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TANZANIA 
imemalizia hasira zake kwa Djibouti kwa kuitandika 8-0 katika mechi yake ya mwisho ya michuano ya  CECAFA wanawake U20 Uwanja wa FTC Njeru nchini Uganda.
Mabao ya Tanzanite leo yamefungwa na Aisha Masaka saba dakika ya tatu, 27, 60, 66, 72, 73 na 86  na lingine Clara Luvanga dakika ya 43.
Mechi nne za awaliTanzanite ilishinda mbili 1-0 dhidi ya Eritrea na 3-2 dhidi ya Burundi na pia ilifungwa mbili, 1-0 na wenyeji, Uganda na 2-1 na Ethiopia.
Kwa matokeo hayo, Tanzanite inamaliza nafasi ya tatu nyuma ya mabingwa, Uganda na Ethiopia.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz