STARS WAENDA KUKAMILISHA RATIBA MADAGASCAR-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

STARS WAENDA KUKAMILISHA RATIBA MADAGASCAR-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WACHEZAJI wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa kwenye ndege wakati wa safari ya kwenda Antananarivo kwa ajili ya mchezo wao wa mwisho wa Kundi J kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya wenyeji, Madagascar Jumapili.
Taifa Stars imepoteza nafasi ya kufuzu fainali hizo zitakazofanyika Qatar mwakani baada ya kufungwa 3-0 na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) jana Dar es Salaam.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz