Spurs Yamtimua Kocha Nuno-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Spurs Yamtimua Kocha Nuno-Michezoni leo

KLABU ya Tottenham Hotspur imethibitisha kuvunja mkataba na kocha wake mreno Nuno Espírito Santo baada ya kuwa na mfululizo wa matokeo yasioridhisha.

 

Kufukuzwa kwa Nuno kumechangiwa na kipigo cha mabao 3-0 walichopata jumamosi dhidi ya Manchester United. Nuno amedumu Klabuni hapo kwa miezi minne,.

 

Kwenye msimamo wa EplSpurs inashika nafasi ya nane, ikiwa na alama 15 baada ya kucheza mechi 10 k. Antonio Conte anapigiwa chapua kurithi mikoba ya Nuno.

The post Spurs Yamtimua Kocha Nuno appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz