SIMBA SC NA RED ARROWS SH 5,000 TU-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

SIMBA SC NA RED ARROWS SH 5,000 TU-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

KIINGILIO cha chini katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya wenyeji, Simba SC na Red Arrows ya Zambia ni Sh.5000.


Taarifa ya Simba SC leo imesema kwamba viingilio vingine katika mchezo huo utakaofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Jumapili kuanzia Saa 10:00 jioni ni Sh.20,000 kwa VIP B na C na 40,000 kwa VIP A.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz