SIMBA NA JKT, YANGA NA IHEFU, AZAM NA WARRIORS ASFC-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

SIMBA NA JKT, YANGA NA IHEFU, AZAM NA WARRIORS ASFC-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABINGWA watetezi, Simba SC wataanza na JKT Tanzania katika Raundi ya Pili ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC), wakati watani wao, Yanga waliomaliza nafasi ya pili wataanza na Ihefu SC ya Mbeya.
Timu nyingine maarufu ya Ligi Kuu, Azam FC kama Simba na Yanga nao watacheza na timu ya Championship katika Raundi ya Kwanza, ambayo ni Green Warriors ya Dar es Salaam.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz