Ronaldo Hali Mbaya-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Ronaldo Hali Mbaya-Michezoni leo

Nyota Cristiano Ronaldo jana alishindwa kuisaidia Ureno kupata nafasi ya kucheza Kombe la Dunia baada ya kuchapwa 2-1 nyumbani na Serbia Uwanja wa Luz Jijini Lisbon.

 

Renato Sanches aliyeanza badala ya Bruno Fernandes aliifungia bao la kuongoza Ureno dakika ya pili, kabla ya Dusan Tadic kuisawazishia Serbia dakika ya 33 na Aleksandar Mitrovic kufunga la ushindi dakika ya 90.

 

Serbia inamaliza na pointi 20 kileleni kwa Kundi A na kufuzu moja kwa moja Kombe la Dunia, mwakani wakati Ureno ya Cristiano Ronaldo iliyoshika nafasi ya pili kwa pointi zake 17 itakwenda Play-Offs kujaribu bahati ya kucheza Qatar 2022.

The post Ronaldo Hali Mbaya appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz