REFA ALIYEWAPA YANGA PENALTI ACHUKULIWA HATUA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

REFA ALIYEWAPA YANGA PENALTI ACHUKULIWA HATUA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

REFA Abel William aliyewapa Yanga penalti ya uraia iliyowapatia bao la kusawazisha wako toa sare ya 1-1 na Namungo FC wiki iliyopita Lindi amechukuliwa hatua.
Taarifa ya Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imesema kwamba refa huyo amepelekwa Kamati ya Waamuzi akajadiliwe kwa makosa aliyoyafanya.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz