REAL MADRID YASHINDA 3-0 UGENINI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

REAL MADRID YASHINDA 3-0 UGENINI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABAO ya David Alaba dakika ya 30, Tony Kroos dakika ya 45 na ushei na Karim Benzema dakika ya 55 jana yameipa Real Madrid ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Sheriff Tiraspol katika mchezo wa Kundi D Uwanja wa Bolshaya Sportivnaya Arena Jijini Tiraspol.
Real Madrid ambayo imeshafuzu 16 Bora, inafikisha pointi 12 na kuendelea kuongoza kundi mbele ya Inter Milan yenye pointi 10, Sheriff sita na Shakhtar Donetsk moja.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz