RC, DC WATEMBELEA KITUO CHA TFF KIGAMBONI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

RC, DC WATEMBELEA KITUO CHA TFF KIGAMBONI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla leo ametembelea mradi wa Kituo cha michezo kinachojengwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), eneo la Mwasonga, Kigamboni, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.


Katika ziara hiyo, Makalla ameongozana na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Fatma Nyangassa na Katibu wa TFF, Wilfred Kidau.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz