PRISONS YAIPIGA NAMUNGO 3-1, MCC NA KMC 2-2 -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

PRISONS YAIPIGA NAMUNGO 3-1, MCC NA KMC 2-2 -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
WENYEJI, Tanzania Prisons wamepata ushindi wa pili mfululizo katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa Namungo FC mabao 3-1 jioni ya leo Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga mkoani Rukwa.
Mabao yote ya Tanzania Prisons leo yamefungwa na mshambuliaji Jeremiah Juma dakika ya nne, 11 na 26, wakati bao pekee la Namungo FC limefungwa na mshambuliaji Mrundi, Bigirimana Blaise dakika ya 68.
Kwa ushindi huo, Prisons inafikisha pointi nane na kujiinua hadi nafasi ya nane, wakati Namungo FC inabaki na pointi zake sita katika nafasi ya 13 baada ya wote kucheza mechi 13.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz