Pablo: Utakuwa Mchezo Mgumu, Lakini Tupo Tayari -Video-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Pablo: Utakuwa Mchezo Mgumu, Lakini Tupo Tayari -Video-Michezoni leo

KOCHA Mkuu wa Simba SC, Pablo leo Novemba 13, 2021 akizungumzia maandalizi ya mchezo wa kesho Ijumaa kati ya Simba SC dhidi ya Ruvu Shooting amesema

“Tunategemea mchezo mgumu lakini tuko tayari kwa mchezo wa kesho. Tunajua ni mchezo muhimu na tutapambana ili tupate alama tatu,”-

“Tunawaheshimu wapinzani wetu lakini tumejipanga kushinda. Naamini mtaona mabadiliko.”- Gadiel Michael.

The post Pablo: Utakuwa Mchezo Mgumu, Lakini Tupo Tayari -Video appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz