PABLO FRANCO ATUA KAMBINI SIMBA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

PABLO FRANCO ATUA KAMBINI SIMBA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

KOCHA mpya wa Simba SC, Mspaniola Pablo Franco Martin akizungumza na Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez baada ya kuwasili kwenye kambi ya timu hiyo, Mbweni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam leo mchana.


Pablo, kocha Msaidizi wa zamani wa Real Madrid ya kwao ya Hispania amewasili nchini leo asubuhi kuanza kuutumikia mkataba wake wa miaka miwili akirithi mikoba ya Mfaransa, Didier Gomes Da Rosa aliyefukuzwa mwezi uliopita.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz