PABLO AANZA NA SARE YA 2-2 SIMBA SC-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

PABLO AANZA NA SARE YA 2-2 SIMBA SC-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

KOCHA mpya wa Simba, Mspaniola Pablo Franco Martin jana ameanza na sare ya 2-2 na Cambanso Academy katka mchezo wa kirafiki Uwanja wa Boko Veterani Jijini Dar es Salaam.
Simba ilitangulia kwa mabao ya Yussuf Mhilu na Jonas Mkude kwa penalti kipindi cha kwanza, kabla ya Cambianso kusawazisha kipindi cha pili kupitia kwa Hija Shamte na Manzil Mwinyihija.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz