Ole Gunner Afukuzwa Manchester United-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Ole Gunner Afukuzwa Manchester United-Michezoni leo

HATIMAYE Klabu ya  Manchester United imefikia makubaliano ya kuachana na kocha wake Ole Gunner Solskjaer, hatua hiyo inafuatia matokeo mabaya mfululizo ikiwemo kipigo cha 4-1 kutoka kwa Watford Jumamosi ya Novemba 20.
 
Baada ya saa 5 za mazungumzo hatimaye pande zote zimekubaliana kuvunja mkataba huo, timu kwa sasa itakuwa chini ya viungo wa zamani wa klabu hiyo Michael Carrick na Fletcher.
Mpaka sasa Zinedine Zidane ndiye chaguo namba moja  kuwa mbadala wa Ole Gunnar Solskjaer.

The post Ole Gunner Afukuzwa Manchester United appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz